Thamani Academy Podcast Podcast Por Coach Ansey | Thamani Academy arte de portada

Thamani Academy Podcast

Thamani Academy Podcast

De: Coach Ansey | Thamani Academy
Escúchala gratis

Acerca de esta escucha

Karibu Thamani Academy Podcast. Kila Week, Coach Ansey atakuletea Elimu na Masomo kuhusu Biashara Mtandaoni, Maudhui ya Biashara, Masoko na Matangazo ya Kidijitali, Maendeleo Binafsi, pamoja na mambo mengine muhimu yatakayokusaidia kuongeza Thamani zaidi katika Maisha yako Kwa Lugha rahisi kabisa. Kama Unafurahia na Kufaidika Kupitia Elimu na Maarifa haya, tafadhari Rate na andika Review yako katika Episode zetu. Usisahau Kushare Kwa Rafiki yako unaemjali.Coach Ansey | Thamani Academy Economía Marketing
Episodios
  • Jinsi ya Kuandika Caption nzuri ya Tangazo.
    Jun 7 2023
    Moja ya maeneo muhimu sana katika Tangazo lako, ni eneo la Caption. Na sifa Kubwa ya Caption nzuri ni kuwa na uwezo wa kuteka Attention ya audience wako, na kumfanya achukue muda wake kusoma ujumbe wako na kumshawishi kuchukua hatua ndani ya sekunde chache. Katika Episode hii, utajifunza mbinu zitakazokusaidia kuandika Caption nzuri, zenye kushawishi na kuwavutia watu watakaoona Tangazo lako. Are you ready? Chukua Kalamu na Notebook yako sasa, na uanze kuchukua Notes zako Muhimu. Unaweza Kuendelea Kujifunza zaidi kupitia Kurasa zetu; ▶Coach Ansey | https://instagram.com/coachansey ▶Thamani Academy | https://instagram.com/thamaniacademy
    Más Menos
    12 m
adbl_web_global_use_to_activate_T1_webcro805_stickypopup
Todavía no hay opiniones