Episodios

  • Jinsi ya Kuandika Caption nzuri ya Tangazo.
    Jun 7 2023
    Moja ya maeneo muhimu sana katika Tangazo lako, ni eneo la Caption. Na sifa Kubwa ya Caption nzuri ni kuwa na uwezo wa kuteka Attention ya audience wako, na kumfanya achukue muda wake kusoma ujumbe wako na kumshawishi kuchukua hatua ndani ya sekunde chache. Katika Episode hii, utajifunza mbinu zitakazokusaidia kuandika Caption nzuri, zenye kushawishi na kuwavutia watu watakaoona Tangazo lako. Are you ready? Chukua Kalamu na Notebook yako sasa, na uanze kuchukua Notes zako Muhimu. Unaweza Kuendelea Kujifunza zaidi kupitia Kurasa zetu; ▶Coach Ansey | https://instagram.com/coachansey ▶Thamani Academy | https://instagram.com/thamaniacademy
    Más Menos
    12 m
adbl_web_global_use_to_activate_T1_webcro805_stickypopup