Episodios

  • MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris
    Mar 25 2026

    Send us Fan Mail

    Haya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako.

    "Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa."
    1 Petro 2:24

    Ubarikiwe sana.


    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Más Menos
    35 m
  • MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
    Jan 29 2026

    Send us Fan Mail

    Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.

    Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Más Menos
    24 m
  • JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris
    Jan 13 2026

    Send us Fan Mail

    Katika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Más Menos
    1 h y 6 m
  • MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
    Jan 3 2026

    Send us Fan Mail

    Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.

    Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana.

    Usisahau:
    ✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila wiki.
    ✔️ Share maombi haya ili kuwabariki wengine.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Más Menos
    1 h y 43 m
  • UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
    Jan 3 2026

    Send us Fan Mail

    Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.

    Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026.

    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Más Menos
    22 m
  • MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
    Nov 24 2025

    Send us Fan Mail

    Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.

    MSTARI:
    "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."
    Mathayo 15:13

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Más Menos
    1 h y 34 m
  • JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
    Nov 14 2025

    Send us Fan Mail

    Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba.

    Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Más Menos
    1 h y 6 m
  • JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
    Nov 14 2025

    Send us Fan Mail

    Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu.

    Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship


    Más Menos
    58 m