Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose? Podcast Por  arte de portada

Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose?

Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose?

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Ulimwengu huu wa utandawazi umewapa wengi fursa ya kutumia mitandao ya kijamii kuweka picha zao kujifurahisha na hata kuwafurahisha wengine. Kuna wale huweka picha wakiwa wamevalia nadhifu, wengine kujianika nusu uchi na kadhalika. Je, mwonekano wa mtu katika picha anazoweka mitandaoni unaweza kuchangia apate mchumba ama akose, hasa kwa wanaolenga kuwapata wachumba? Tumezunguma na wananchi kuihusu mada hii vilevile kupata wosia wa mshauri Bi. Rachel Mahungu.
Todavía no hay opiniones