Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana? Podcast Por  arte de portada

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Washauri wa masuala ya mapenzi watakweleza kwamba huwa ni kibarua kumtafuta mchumba na hasa mtu mtakayefaana maishani. Ili kumpata mpenzi ni lazima kwanza umtafute. Lakini je, ni mbinu zipi ambazo hutumiwa katika kutongoza? Msichana naye anaweza kufanya nini ili kumvutia mwanamume ambaye anampenda bila kutoa taswira kwamba ndiye anayemfukuzia mwanamume? Vijana na washauri wanatoa kauli zao kuihusu mada hii.
Todavía no hay opiniones