Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich Podcast Por  arte de portada

Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich

Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Wakili Timothy Toroitich, mwaniaji wa kiti cha ubunge kwenye eneo la Marakwet Magharibi ni miongoni mwa wagombea huru wengi waliojitokeza Kaskazini mwa Bonde la Ufa baada ya kutoridhishwa na matokeo ya shughuli ya uteuzi wa Chama cha UDA. Faith Kutere amezungumza naye kuhusu safari yake ya siasa, idadi kubwa ya wagombea huru waliojitokeza nchini, ukosefu wa usalama kwenye Bonde la Kerio, mipango yake ya kisiasa iwapo atachaguliwa miongoni mwa masuala mengine.
Todavía no hay opiniones