• Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

  • Aug 25 2009
  • Duración: 15 m
  • Podcast

Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

  • Resumen

  • Philipp na Paula wanafuata dalili za papa na kugundua jambo la kushangaza. Wanaingiwa na hamu zaidi wanapopata bao la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari bila mwenyewe na pia makala ya gazeti inayowachanganya. Wanapoepukana na zogo la umati wa watu, waandishi habari hao wawili wanachunguza mahali papa alipopatikana. Wanapoona bao lililovunjika la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari, wanaingiwa na wasiwasi. Kisha, kwenye gazeti moja la Hamburg wanaona picha ya papa—na wafanyikazi wenzao Laura na Paul ambao wanaonekana kuwa na wasiwasi. Lakini yote hayo yanahusiana vipi? Tukio hili linasisitiza viwakilishi-nafsi "sie" na "er," vinavyotumika pia kuelezea majina ya jinsia ya kike na ya kiume, ambavyo tayari vimezungumziwa.
    Más Menos
adbl_web_global_use_to_activate_webcro805_stickypopup

Lo que los oyentes dicen sobre Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

Calificaciones medias de los clientes

Reseñas - Selecciona las pestañas a continuación para cambiar el origen de las reseñas.