Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast Podcast Por  arte de portada

Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.
Todavía no hay opiniones