Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa Podcast Por  arte de portada

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa anasema kuwa uhusiano mbaya kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto ni kutokana na siasa. Katika mahojiano na Faith Kutere, Barasa anasema hatua ya Rais kumwambia Naibu wake ajiuzulu haifai. Aidha, amepuuza uwezekano wa Ruto kuondolewa kupitia hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni.
Todavía no hay opiniones