Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya Podcast Por  arte de portada

Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

Siasa Podcast; Ahadi za Raila na Ruto; watatekeleza? Maoni ya Wakenya

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Wakenya wanatoa maoni kuhusu ahadi za Raila Odinga na William Ruto. Baadhi wanasema ahadi zao ni ndoto tu huku wengine wakiwa na matumaini kwamba watatekeleza. Aidha, Wakenya wameshabikia kuharamishwa kwa mpango wa Huduma Namba. Je, rufaa ya serikali itafaulu? Wanahabari wetu wameshiriki gumzo na Wakenya kuhusu masuala haya.
Todavía no hay opiniones