SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25) Podcast Por  arte de portada

SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Biblia inatueleza sisi pia kuwa, “kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu, bali kwa mwili wangu sheria ya dhambi.” Na hizo ndio sheria zinazotutawala. Mioyo yetu imeumbwa kumpenda Mungu na kuupenda ukweli, lakini ni kawaida kwa mwili kuitumikia sheria ya dhambi. Neno la Mungu linatueleza sisi kuwa moyo unaitumikia injili na haki ya Mungu ilhali mwili unaitumikia dhambi tu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones