SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26) Podcast Por  arte de portada

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya Roho mbele za Mungu? Ni kuishi aina ya maisha yanayompendeza Mungu kama, kuhubiri injili ya maji na Roho kwa roho zingine ili waweze pia kupokea ondoleo la dhambi zao.Kinacholeta matakwa ya Roho ndani yetu na kutufanya tuishi kulingana na shauku hii ni imani yenyewe iliyowekwa katika injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones