SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6) Podcast Por  arte de portada

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya mwili inayoturudisha kuwa watenda dhambi, kwa sababu Yesu Kristo alikuja kutuokoa kutoka katika dhambi. Bwana wetu ametufanya kuwa watoto wa Mungu kwa kutuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu huu kwa injili ya maji na Roho. Kwa kweli Bwana ametupa wokovu wa kweli na uhuru wa kweli kwa wale tunaoamini injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones