SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29) Podcast Por  arte de portada

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

“Tohara ni ya moyo.” Tunaokolewa pale tunapo amini kwa moyo. Yatupasa kuokolewa moyoni. Mungu anasema “tohara ni ya moyo katika roho si katika andiko ambayo sifa yake haitoki kwa wanadamu bali kwa Mungu” (Warumi 2:29). Yatupasa kuwa na ondoleo la dhambi. Ikiwa hatutokuwa nalo mioyoni mwetu basi ni bure tu. Mwanadamu ana “utu wa ndani” “na utu wa nje” na kila mtu inamlazimu kupokea ondoleo la dhambi ndani ya utu wake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones