SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2 Podcast Por  arte de portada

SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2

SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Katika ulimwengu huu yapo makundi mawili, Wayahudi na Wakristo wamwaminio Mungu na kati ya watu hawa wapo wale wenye kumwamini Yesu na wale wasio mwamini Mungu huchulia imani ya wale wasio mwamini Yesu kuwa ni bure isiyofaa. Hata hivyo, tatizo kubwa linalowakabili Wakristo ni hili la kumwamini Yesu kwa njia yoyote huku wangali bado hawaja samehewa dhambi zao. Mtume Paulo alizungumzia hili katika Warumi Sura ya 2 si kwa Wayahudi na Wayunani pekee bali hata kwa Wakristo wa nyakati hizi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones