SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19) Podcast Por  arte de portada

SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Neno la Ufunuo 11 ni la muhimu sana kwetu, ni muhimu kama lilivyo Neno lote la Mungu. Ili Mungu aweze kuuangamiza ulimwengu, basi kuna kazi moja ya muhimu sana ambayo anapaswa kuifanya mapema. Na hii ni kuwavuna watu wa Israeli kwa ajili ya nyakati za mwisho. Pia Mungu anayo kazi nyingine ya kuifanya kwa Waisraeli na Wamataifa, na kazi hii ni kuwafanya washiriki katika ufufuo wa kwanza na unyakuo kwa kuwaruhusu wauawe na kuwa wafia-dini.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones