SBS Swahili - SBS Swahili Podcast Por SBS arte de portada

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

De: SBS
Escúchala gratis

OFERTA POR TIEMPO LIMITADO. Obtén 3 meses por US$0.99 al mes. Obtén esta oferta.
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza KiswahiliCopyright 2023, Special Broadcasting Services Ciencias Sociales Política y Gobierno
Episodios
  • hali ya hewa inawaathiri pinguini
    Nov 8 2025
    Timu ya kimataifa ya wanasayansi imeonya kuwa pIngwini wanaweza kuwa katika hatari kutokana na madhara ya hali mbaya ya hewa. Utafiti mpya unapendekeza kwamba si tukio moja kama vile joto kali inayosababisha hatari kubwa zaidi, bali ni athari zake zilizoungana pamoja katika ardhi na baharini.
    Más Menos
    6 m
  • MZIO WA KARANGA KWA WATOTO UPATA MWELEKEO MPYA
    Nov 4 2025
    Miaka kumi baada ya utafiti muhimu kudhibitisha kwamba kuwalisha watoto wachanga bidhaa za karanga inaweza kuendeleza mzio hatari, utafiti mpya umebaini kuwa kuna uwezekano wa kuepuka kuendeleza mizio ya chakula.
    Más Menos
    7 m
  • Serikali kudhibitisha umuhimu wa wahamiaji kwenye uchumi
    Nov 4 2025
    Waziri wa Mambo ya Ndani, Tony Burke, anasema kwamba serikali inafanya kazi juu ya uwezekano wa kutambua ujuzi wa nje ya nchi. Anasema hii itasaidia kuokoa muda na pesa kwa wahamiaji wenye ujuzi wanaotafuta kuhamia Australia. Katika hotuba yake kwa Klabu ya Waandishi wa Habari huko Canberra, Bw. Burke pia ametangaza mabadiliko kwenye akaunti za benki zisizotumika ili kukabiliana na utakatishaji wa fedha.
    Más Menos
    6 m
Todavía no hay opiniones