Episodios

  • Je, unafahamu Msalaba ni nguvu ya wowkovu wetu?
    Jul 30 2025

    Ungana nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja anapoendelea kufundisha juu ya thamani ya ukombozi wetu.

    L'articolo Je, unafahamu Msalaba ni nguvu ya wowkovu wetu? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    56 m
  • Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na saba)
    Jul 29 2025

    Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya na Bwana,hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.

    L'articolo Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na saba) proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    56 m
  • Je, ni kwa namna gani Familia inakua chanzo cha ulemavu kwa mtoto?
    Jul 29 2025

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Elimu Jamii, ambapo Sista Angela Jeremiah, Mkurugenzi Kituo cha Utengemao (Mazoezi tiba)cha Antonia Verna – Kawe jijini Dar es Salaam anatoa elimu juu ya Familia kama chanzo cha ulemavu.

    L'articolo Je, ni kwa namna gani Familia inakua chanzo cha ulemavu kwa mtoto? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    47 m
  • Fahamu vizuri nguvu ya wokovu wetu
    Jul 29 2025

    Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera anafundisha juu ya thamani ya wowkovu wetu akiangazia kipengele cha nguvu ya wowkovu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu

    L'articolo Fahamu vizuri nguvu ya wokovu wetu proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    43 m
  • Mfahamu Mtakatifu Martha Dada yake na Lazaro aliyefufuliwa na Bwana wetu Yesu Kristo.
    Jul 28 2025

    Karibu katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria, Mwezeshaji ni Mhshamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba leo anatuongoza kuangazia maisha ya Mtakatifu Martha. Mtangazji wako ni Beatrice Audax

    L'articolo Mfahamu Mtakatifu Martha Dada yake na Lazaro aliyefufuliwa na Bwana wetu Yesu Kristo. proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    31 m
  • Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?
    Jul 28 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linalojibiwa Leo linauliza hivi; Bwana wetu Yesu Kristo alisema, atakayenikiri na kubatizwa kwa jina langu, ndiye atakayeokoka. Je kwa madhehebu au dini nyingine mathalani ndugu zetu waislamu ambao huwa hawabatizwi hawawezi kuokoka? Majibu yanatolewa na Frateri Renatus Kazimoto anayefanya utume Parokia ya Bikira Maria msaada wa Wakristo […]

    L'articolo Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    29 m
  • Je, unafahamu thamani ya ya kura yako katika kipindi cha uchaguzi Mkuu?
    Jul 26 2025

    Karibu katika kipindi cha Elimu Jamii, Mwezeshaji ni Joseph Kasongwa Mwaiswelo, Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma kutoka Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ambapo leo tunaangazia juu ya Thamani ya kura wakati wa uchaguzi Mkuu. Studio Kuu Mikocheni mtangazaji wako ni mimi Esther Magai Hangu nikishirikiana na Geofrey Rweyunga kutpka studio ndogo Jijini […]

    L'articolo Je, unafahamu thamani ya ya kura yako katika kipindi cha uchaguzi Mkuu? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    38 m
  • Fahamu madhara ya ya kiuchumi yatokanayo na unyanyaswaji majumbani
    Jul 26 2025

    Karibu katika kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu, kipindi hiki kinaandaliwa na kuletwa kwako na Mafrateri kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Karoli Lwanga – Segerea Jimbo Kuu la Dar es Salaam Frateri John Honest anazungumzia madhara ya kiuchumi yatokanayo na unyanyaswaji majumbani.

    L'articolo Fahamu madhara ya ya kiuchumi yatokanayo na unyanyaswaji majumbani proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    22 m