Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast Podcast Por  arte de portada

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Katika miaka ya hivi karibuni, jamii imekuwa ikiyafanya kipaumbele maslahi ya mtoto wa kike baada ya kukandamizwa kwa miaka mingi. Wengi sasa wamepata nafasi ya kusoma na hata kuajiriwa. Lakini kuna wanaoamini kwamba mwanamke anapopata kazi na kuwa na cheo katika jamii, mara nyingi hujawa kiburi. Suala hili tunaliangazia kwa kuhusisha kauli za wananchi vilevile kupata ushauri kuhusu masuala ya ndoa.
Todavía no hay opiniones