Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini? Podcast Por  arte de portada

Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini?

Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini?

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linahoji hivi; Kanisa linahimiza kuwasaidia watu masikini, sasa mimi nitawezaje kuwasaidia wakati mimi mwenyewe ni masikini? Na je Matajiri hawahitaji kusaidiwa? Swali limejibiwa na Frateri Peter Peter kutoka Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu

L'articolo Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini? proviene da Radio Maria.

Todavía no hay opiniones