Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast Podcast Por  arte de portada

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya soka, Harambee Stars Silvanus Otema anasema alipitia wakati mgumu nchini Ethiopia baada ya kujiunga na klabu ya St. George. Otema anasema alitengwa na wachezaji wa klabu hiyo kutokana na uzuri wake. Pata uhondo kamili katika Podcast hii.
Todavía no hay opiniones