Episodios

  • Gen-Z na Lifestyle yao
    Jul 3 2025

    Malezi ndani ya familia zetu siku hizi yako vipi?

    Nani anatakiwa kuchungwa zaidi—mtoto wa kiume au wa kike ? Hasa hawa watoto wa 2000






    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    20 m
  • Beki Tatu na Changamoto zake
    Jul 3 2025

    Je, unaweza kumuacha mumeo kisa dada wa kazi ?

    Mume wako ni sawa kupikiwa chakula na dada wa kazi ?

    Na uchawi nao upo au ni kisingizio tu ?



    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    31 m
  • Vikwazo na Mafanikio
    Jul 3 2025

    Kwenye hii episode yetu ya KOMA Podcast, Tumekutana na Nanga pamoja na Tiko, tukachambua ukweli wa maisha: ile hali ya kuwa ya mafanikio au kutoboa na mategemeo ya watu kwako katika jamii yetu pamoja na matokeo yanayokuja pale unapochagua kujipa kipaumbele.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    19 m
  • MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKI
    Jul 3 2025

    Katika episode hii, Paul konyaki akisimulia safari yake, mitikasi na maisha ya South Africa


    Usikose kusikiliza hii story ya ukweli—ya hisia, mafunzo, na maisha ya kweli.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    29 m
  • Umri na Ndoa
    Jun 30 2025

    Kuna kigezo chochote Cha kutizama kabla ya Kuoa au Kuolewa?


    Je, Kuoa au kuolewa ukiwa na Umri mkubwa kuna athari zozote ??


    Kwako mwana KOMA..


    Mjadala huu ni mzito na haupaswi kukupita!

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    21 m