Kisa Changu Podcast: Mahangaiko ya wanasiasa wanawake wenye ulemavu; Sehemu ya 1 Podcast Por  arte de portada

Kisa Changu Podcast: Mahangaiko ya wanasiasa wanawake wenye ulemavu; Sehemu ya 1

Kisa Changu Podcast: Mahangaiko ya wanasiasa wanawake wenye ulemavu; Sehemu ya 1

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Machakos Rose Museo ana ulemavu. Museo aliyepata ulamavu huo ulemavu kufuatia ajali mwaka 2007 anasema changamoto hiyo haikumzuia kufanikisha ndoto yake ya kuwa kiongozi. Rose Mukonyo amezungumza naye anafafanua zaidi huku akiwashauri wanawake wengine wenye ulemavu kwamba wanaweza.
Todavía no hay opiniones