Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi? Podcast Por  arte de portada

Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi?

Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi?

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia akiendelea kujibu Maswali ya Msikilizaji na moja ya Maswali hayo ni kwanini Mkatoliki akihamia katika ulokole anakuwa makaidi na mbishi?

L'articolo Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi? proviene da Radio Maria.

Todavía no hay opiniones