Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa? Podcast Por  arte de portada

Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa?

Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa?

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na harakati za kisiasa au chama cha kisiasa inaruhusiwa?

L'articolo Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa? proviene da Radio Maria.

Todavía no hay opiniones