Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka? Podcast Por  arte de portada

Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?

Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linalojibiwa Leo linauliza hivi; Bwana wetu Yesu Kristo alisema, atakayenikiri na kubatizwa kwa jina langu, ndiye atakayeokoka. Je kwa madhehebu au dini nyingine mathalani ndugu zetu waislamu ambao huwa hawabatizwi hawawezi kuokoka? Majibu yanatolewa na Frateri Renatus Kazimoto anayefanya utume Parokia ya Bikira Maria msaada wa Wakristo […]

L'articolo Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka? proviene da Radio Maria.

Todavía no hay opiniones