Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia Podcast Por  arte de portada

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Dunia inazidi kushangazwa na suala la mili zaidi ya 20 kupatikana ndani ya magunia katika Mto Yala. Mili hiyo ina alama na ishara za mateso. Je, waliouliwa ni akina nani na sababu za kuuliwa ni gani? Aidha, twajadili siasa za OKA vilevile usajili wa wapigakura wapya. Ali Manzu anawashirikisha wanahabari, Shisia Wasilwa na Kennedy Wandera katika kudadavua masuala haya.
Todavía no hay opiniones