Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga Podcast Por  arte de portada

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Allan Wanga anayewania kiti cha urais katika Shirikisho la soka la Kenya [FKF], alikuwa mchezaji wa timu ya Kitaifa ya Soka Harambee Stars. Wanga anaelezea mikakati aliyoweka katika kulenga kuwa Rais wa FKF. Katika mazungumzo na wanahabari wetu Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Wanga ambaye ni mfanyakazi katika Kaunti ya Kakamega anasema Kenya inahitajikiongozi ambaye ana ufahamu mkubwa wa masuala ya soka.
Todavía no hay opiniones