Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure Podcast Por  arte de portada

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Mathare United, Jakton Obure amesema watasalia kwenye ligi kuu ya FKF msimu ujao licha ya kushushwa daraja baada ya kukosa kushiriki mechi tatu mfululizo. Katika mahojiano na Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Obure anasema kwa mujibu wa sheria za FIFA ni kwamba kamati ya muda katika shirikisho la soka FKF haina uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ligi kuu ya soka FKF.
Todavía no hay opiniones