Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu Podcast Por  arte de portada

Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu

Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Karibu uungane nami mtangazaji wako Happiness Mlelwa katika kipindi chetu pendwa cha Elimu Jamii, hapa studio tupo na Bi Irene Guela kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano huduma kwa wateja kutoka TANESCO na Bi Catherine Mugoha Muhandisi nishati safi kutoka TANESCO, Wakitupa elimu kuhusu nishati na mita janja kupelekea maendeleo endelevu

L'articolo Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu proviene da Radio Maria.

Todavía no hay opiniones