Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat Podcast Por  arte de portada

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Paul Kurgat aliwahi kuwa Balozi wa Kenya nchini Ukraine na pia alisomea Ulaya, hasa Urusi. Kwenye Elimu Podcast, Balozi Kurgat anazungumza na Faith Kutere kuhusu elimu nchini humo na kulinganisha na mfumo wa elimu nchini Kenya. Pia anaeleza jinsi ambavyo vita kati ya Ukraine na Urusi vitakavyowaathiri wanafunzi wanaosomea huko.
Todavía no hay opiniones