Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli Podcast Por  arte de portada

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Kenya inapochangamkia Mtalaa wa Umilisi (CBC), mwanafunzi mwenye mahitaji spesheli anashughulikiwaje?Mwalimu Frank Otieno amezumgumza na Daktari Festo Ndonye, ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi, Idara ya Elimu Spesheli na Eva Nabutuni, mwandishi wa kitabu cha kufunza walimu na wazazi kuhusu elimu ya wenye mahitaji spesheli.
Todavía no hay opiniones