Elimu Podcast: Mafadhaiko miongoni mwa vijana Podcast Por  arte de portada

Elimu Podcast: Mafadhaiko miongoni mwa vijana

Elimu Podcast: Mafadhaiko miongoni mwa vijana

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Mafadhaiko miongoni mwa vijana yameendelea kuwazonga na hata baadhi kukata tamaa maishani. Mwalimu Frank Otieno amezungumza kwa kina na washauri wa vijana: Evelyne Ogendo, Faith Mutendwa na Kelvin Ogada na kuangazia mbinu za kuwakwamua vijana kutokana na msongo wa mawazo nyumbani na hata shuleni.
Todavía no hay opiniones