Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast Podcast Por  arte de portada

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo
Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.
Todavía no hay opiniones