Afya:wataalamu waonya dhidi ya madhara ya kuchanganya mipango mbalimbali ya lishe Podcast Por  arte de portada

Afya:wataalamu waonya dhidi ya madhara ya kuchanganya mipango mbalimbali ya lishe

Afya:wataalamu waonya dhidi ya madhara ya kuchanganya mipango mbalimbali ya lishe

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

OFERTA POR TIEMPO LIMITADO | Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

$14.95/mes despues- se aplican términos.
Mipango ya lishe kama vile Foodmap, yenye protini nyingi, isiyo na gluten, yenye mafuta kidogo, na kula chakula safi - kuna mipango mingi sana ya lishe, na ushauri unaokinzana. Wataalamu wa Australia wanaonya kwamba kufuata mipango mbalimbali ya lishe kwa wakati mmoja kunaweza kuwa na matokeo yasiyotarajiwa.
Todavía no hay opiniones