7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro­3:20-22) Podcast Por  arte de portada

7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro­3:20-22)

7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro­3:20-22)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Tulizaliwa duniani humu, lakini kabla ya hapo Mungu(God) alikuwa tayari anatujua. Alijua kwamba tungezalika tukiwa wenye dhambi na akatuokoa sisi sote waumini kupitia ubatizo Wake, ulioondoa dhambi zote za ulimwengu. Aliwaokoa waumini wote na kuwafanya wote kuwa watu Wake.
Haya yote ni matokeo ya neema ya Mungu(God). Kama isemavyo katika Zaburi 8:4, “Mtu ni nani hata Umkumbuke.” Wale waliookolewa kutoka kwa dhambi zote ndio wapokeaji wa upendo Wake wa kipekee. Wao ni watoto Wake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones