6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58) Podcast Por  arte de portada

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Wakati Bwana wetu alipokuwa duniani, watu wa Israeli walikuwa masikini sana na hawakuwa na chakula cha kutosha kujilisha, kwani walinyonywa na Dola la Rumi kama koloni. Bwana wetu alikutana na wagonjwa na akawaponya, na akafanya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili kwa maskini kuwalisha kwa chakula cha mwili. Kuona watu wa Israeli, Bwana wetu aliwaonea huruma. Aliwahurumia kwa sababu aliwaona kama kondoo waliopotea, kundi bila mchungaji. Wakati watu wa Israeli walimfuata Yesu njia yote kuelekea nyikani, Yesu aliwaonea huruma, kwani hata kama wanahitaji kulishwa, kwani walikuwa na nyama, hawakuwa na chakula.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones