6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36) Podcast Por  arte de portada

6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Kifungu cha maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Yohana 1:30-36. Watumishi wa Mungu wanaoamini katika injili ya maji na Roho wanafahamu wote kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa wenye dhambi. Vivyo hivyo, wale ambao wanamfahamu na kumwamini Mungu kwa kweli wanaweza kutambua kuwa Yohana Mbatizaji aliitimiza huduma muhimu na ya thamani akiwa kama mtumishi wa Mungu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones