5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10) Podcast Por  arte de portada

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na Mungu. Unaweza kudhani “Sasa itawezekanaje mtu asiwe na dhambi hata kidogo mbele ya Mungu?” Lakini ikiwa kweli unatamani usharika na Bwana basi lazima pasiwepo na kiza moyoni mwako. Hivyo ili uwe na usharika na Bwana, unahitajika kujua kwamba lazima uamini Injili ya ukombozi na kujitakasa dhambi zako zote.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones