
5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)
No se pudo agregar al carrito
Add to Cart failed.
Error al Agregar a Lista de Deseos.
Error al eliminar de la lista de deseos.
Error al añadir a tu biblioteca
Error al seguir el podcast
Error al dejar de seguir el podcast
-
Narrado por:
-
De:
Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa chakula cha mchana moja, Yesu akabariki na akafanya muujiza wa kuwalisha watu zaidi ya 5,000 na mkate na samaki, akiacha vikapu kumi na viwili vya mabaki. Kwa hivyo watu walimfuata Yesu na wakamtaka awe Mfalme wao. Waliwaza, Je! ingekuwa heri kuwa na mfalme kama huyo? Kwa hivyo walijaribu kumfanya Bwana kuwa mfalme wao, lakini Yesu aliondoka akaenda kuvuka pwani ya bahari. Umati mkubwa ukamfuata kwa hamu ya kutaka kupata chakula kingine kutoka kwake, Yesu akawakemea, akisema, “Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika,bali chakula kidumucho hata uzima wa milele.” (Yohana 6:27).
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35