2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24) Podcast Por  arte de portada

2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)

2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Husika na somo kuu katika kifungu hiki, napenda kuleta ujumbe huu iwapo “mtu anaweza kumpokea Roho Mtakatifu ndani yake kwa kupitia juhudi binafsi”. Mitume katika nyakati hizo za Kanisa la kwanza waliweza kupokea nguvu toka kwa Mungu na kutumwa sehemu kadhaa naye. Yapo matendo ya miujiza kadhaa katika Kitabu cha Matendo, mojawapo likiwa kushuka kwa Roho Mtakatifu juu ya waumini pale Mitume walipowawekea mikono. Biblia inasema “Mitume walipowawekea mikono wale ambao hawakuwa wamempokea Roho Mtakatifu ingawa walikwisha mwamini Yesu, walipokea Roho Mtakatifu.”

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones