1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23) Podcast Por  arte de portada

1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23)

1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23)

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Obtén 3 meses por US$0.99 al mes

Kwanza, ningependa kufafanua dhambi ni nini. Kuna dhambi zilizofafanuliwa na Mungu(God), na kuna dhambi zilizofafanuliwa na wanadamu. Neno dhambi, kwa Kigiriki, lina maana ya ‘kukosa shabaha.’ Linamaanisha kutopata sawa. Ni dhambi tusipoyafuata amri za Mungu(God) kwa usahihi. Hebu kwanza tuangalie dhambi kama zilivyofafanuliwa na wanadamu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Todavía no hay opiniones