• Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali
    Apr 16 2024

    Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali


    Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku.


    🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza


    Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph


    Producer Owen Bariki.


    Instagram: eleven_digital255

    Facebook: eleven_digital255

    LinkedIn: eleven_digital255

    Show more Show less
    11 mins
  • Kuwa Mtaalamu Wa Mitandao Ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako
    Apr 9 2024

    Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti.

    Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako





    🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza


    Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph


    Producer Owen Bariki.


    Instagram: eleven_digital255

    Facebook: eleven_digital255

    LinkedIn: eleven_digital255

    Show more Show less
    19 mins
  • Tambuwa Barua Pepe Za Ulaghai (Phishing Emails)
    Jan 30 2024
    Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails) Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni! (Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣) Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show more Show less
    13 mins
  • Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu
    Dec 11 2023
    Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja! Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show more Show less
    12 mins
  • Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.
    Dec 5 2023
    Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show more Show less
    11 mins
  • Application Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya Biashara
    Nov 28 2023
    Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show more Show less
    12 mins
  • Application Tano Bora Za Ku-Edit Video
    Nov 21 2023
    Mfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show more Show less
    11 mins
  • Tumia Application Hizi Kuediti Picha Zako
    Nov 13 2023
    Wewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show more Show less
    9 mins